У нас вы можете посмотреть бесплатно IDARA ELIMU SEKONDARI CHUNYA DC YAWEKA MIKAKATI KUONGEZA UFAULU KIDATO CHA PILI NA NNE, 2026. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Mwalimu Farida Mwasumilwe amekutana na walimu Idara ya Elimu Sekondari Wilaya ya Chunya kutathmini na kuweka malengo ya kuongeza ufaulu wa kidato cha pili na kidato cha nne kwa mwaka 2026. Akitoa maelekezo ya jumla kuhusu hali ya ufaulu kwenye kikao cha tathmini cha taaluma kwa shule za Sekondari Wilaya ya Chunya kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Sapanjo leo Januari 19,2025 mwalimu Farida amesema ni vyema shule zilizoanguka kitaaluma kwenda kujifunza namna bora kuongeza ufaulu kwenye shule zilizofanya vizuri.