У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AAGIZA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE TUNDUMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameagiza ujenzi wa barabara njia nne eneo la Tunduma ili kupunguza msongamano. Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miundombinu mkoani Songwe Dkt. Mwigulu amezitaka taasisi zote za Serikali kushirikiana ili ujenzi huo uanze mara moja na hivyo kuufanya mpaka wa Tanzania na Zambia katika eneo la lango kuu la SADC kufanya kazi kwa tija na hivyo kuvutia wasafirishaji wengi.