У нас вы можете посмотреть бесплатно KUVUNJA MADHABAHU ZA GIZA | SHERIA YA DAMU NA AGANO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Sheria ya Madhabahu, Sheria ya Agano, Sheria ya Damu, Kuvunja Madhabahu za Giza, Maagano ya Kizazi, Generational Curses, Blood Covenant Teaching, Courtroom of Heaven, Damu ya Yesu Kristo, Spiritual Laws, Deliverance Teaching Kiswahili. Unashangaa kwa nini unafanya kazi kwa bidii lakini huoni matunda? Unashangaa kwa nini kuna pattern inajirudia katika familia? Kwa nini katika ukoo fulani lazima mtu afe mapema, awe maskini au apitie maumivu makubwa? Ulimwengu wa roho hauongozwi na hisia. Ulimwengu wa roho unaongozwa na SHERIA. Katika mafundisho haya ya kina, tunaingia ndani kabisa ya: ✔ Sheria ya Madhabahu – sehemu ambapo ulimwengu wa roho na dunia hukutana ✔ Sheria ya Agano – makubaliano ya kiroho yanayofungwa kwa mkataba ✔ Sheria ya Damu – damu inanena, damu hudai, damu hubeba uhai Unaelewa nini kuhusu madhabahu za mababu zako? Je, unajua kwamba bila madhabahu hakuna agano, na bila damu hakuna mkataba kamili? Tunaona katika kitabu cha Mwanzo: – Damu ya kwanza kumwagika kwa ajili ya covering ya mwanadamu – Agano la Mungu na Abraham kupitia dhabihu – Damu ya Abel ikilia kutoka ardhini Damu ina sauti. Damu inanena. Lakini kuna damu iliyo juu ya damu zote — DAMU YA YESU KRISTO. Katika “courtroom of heaven”, shetani ni mshtaki. Yesu ndiye Wakili wetu. Roho Mtakatifu ndiye shahidi wetu. Na damu ya Yesu inanena mema juu yako. Inanena baraka juu ya familia yako. Inanena ulinzi juu ya ndoa yako. Inanena mafanikio juu ya kazi na biashara zako. Katika video hii utajifunza: – Jinsi ya kuvunja madhabahu za giza – Jinsi ya kusilence damu inayolilia kinyume chako – Jinsi ya kuinua madhabahu ya juu zaidi kupitia Yesu Kristo – Jinsi ya kusimama katika ushindi wa agano jipya HATIMA YAKO INAWEZA KUBADILISHWA. Tazama hadi mwisho na uombe pamoja nami. ⸻ 📢 CONNECT WITH US YouTube: / @bethsidajesusministry TikTok: www.tiktok.com/@pastorhenrykiiru Instagram: pastor_henry_kiiru Website: https://bethsidajesusministry.com Facebook: Bethsida Jesus Ministry ⸻ 🤝 SUPPORT THE MINISTRY LIPA NA M-PESA → BUY GOODS | TILL NUMBER: 5669910 MPESA: 0723508528 Name: Henry Nyambura Ukipenda ujumbe huu, subscribe, share na uwasambazie wengine. #SheriaYaMadhabahu #SheriaYaAgano #SheriaYaDamu #DamuYaYesu #BreakingGenerationalCurses #BloodCovenant #CourtroomOfHeaven #DeliveranceTeaching #SpiritualWarfare #BethsidaJesusMinistry #PastorHenryKiiru