У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE AKIPOKEA ZAWADI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NI MWENDO WA KATA KWA KATA NDANI YA JIMBO LA NKENGE LEO TAREHE 31 JULY 2024 NI ZAMU YA KATA KYAKA Mhe. Florent Kyombo anaendelea na ziara yake ya Kata kwa Kata katika Kata 20 za Jimbo la Nkenge Mh. Mbunge anatumia mikutano ya hadhara kuwaeleza wananchi utekelezaji wa ilani katika Bajeti ya 2024/2025, Na kutoa hamasa ya uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kupokea maoni na kutatua kero za wananchi kuwaeleza mipango na mambo yaliyofanywa na Serikali, Mbunge na Madiwani wote wa Chama cha Mapinduzi Katika ziara hii ameambatana na Diwani wa Kata ya Kyaka ,baadhi ya Madiwani wa Viti Maalumu, wajumbe wa kamati ya siasa ya Kata,Chipukizi wa Uvccm Wilaya Missenyi na Wilaya Bukoba mjini Watendaji wa Kata na vijiji pamoja na wataalam toka halmashauri ya Wilaya Missenyi *##Kyombo Omwana Emanzi ya Missenyi*. *##Kyombo tunaye na tunatamba naye*. ##Kyombo tunaye na tunaendelea naye ##Kyombo kazi iendelee ##Samia mitano tena ##Tukutane site2025 ##Tunaendelea na mama 2025 ##Kazi kwa vitendo #kagera