У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwanafunzi wa darasa la pili, abakwa na kuuawa kaunti ya Nyandarua или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maafisa wa polisi Nyandarua wanachunguza kifo cha mtoto anayedaiwa kubakwa kisha kuuawa siku ya Ijumaa jioni katika Kijiji cha Mbombo, eneo bunge la Oljororok. Ripoti zinaonyesha kuwa mwanafunzi huyo wa gredi ya pili alikuwa akirejea nyumbani kutoka shule alipotoweka. Kutoweka kwake kulisababisha wazazi wake pamoja na majirani kuanza juhudi za kumtafuta, ambapo mwili wake ulipatikana chini ya mti wa mikaratusi, ulio karibu na njia inayoeleka nyumbani kwao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive