У нас вы можете посмотреть бесплатно Wanafunzi waliopata mimba wilayani Nkasi wawataja wazazi wao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya wasichana waliopata ujauzito wangali wanafunzi na ambao wameolewa katika umri mdogo wilayani Nkasi, wamedai kuwa sababu za wazazi wao kutotimiza wajibu wa kuwalea ikiwa ni pamoja na kutokuwapa mahitaji yao muhimu ya shule ndiyo chanjo cha wao kukijingiza katika vitendo vya ngono katika umri mdogo na kusababisha kupata mimba na kukimbilia kuoelewa mapema. Wilaya hiyo ndiyo inayoongoza kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kupata ujauzito ambapo zaidi ya wanafunzi 115 tayari wamepewa ujauzito kuanzia mwezi Januari mwaka huu hadi sasa.