У нас вы можете посмотреть бесплатно FreshBoys - Maana Ake Nini? (visualizer) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAANA AKE NINI?" The title of the song, implies "What does it mean?",the song describes the concept questioning human decisions based on their behavior as well as the choices and actions of individuals or groups to understand their motivations and reasoning to gain insight into why people behave in certain ways and their decisions based on behavior,understanding the underlying factors that influence a person's actions, whether a person is right or wrong. This can involve analyzing patterns of behavior over time, observing how people respond to different situations, and considering the context in which decisions are made why a person chooses to behave in a certain way sometimes you might know the answer sometimes you might not and what you will remain with at the end of it is why did a person chose that course of action and what does it mean?...MAANA AKE NINI? @freshboystzMAANA AKE NINI? LYRICS Intro Hakuna atakaekwambia Ila ukipata wanajisogeza Ndo hao hao wanajaza meza Na demu unaempa fedha Si huku bure tunamega Akija kwako anajikweza Chorus Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini) Hio maana ake nini? Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini) Hio maana ake nini? Verse 1 Najua kama najua tell me something new Najua kama wanajua si tunajua But they acting like they fools Si tunajua wanatujua ila hawataki kuonekana wanatujua Wanasubiri waone kwanza tumekua Man that's some BULLSHIT! Shpapi flani bad and boujèèh Hawajibu DM hawa follow, hawa pay attention Labda wakiona una blue tick Ndio maana wengi wenu mkishoboka kwa waliotoboa Mna expire wakishawavua vyupi You get what you give..STUPID! Cha nguoni mwako ndio kikulacho Maana ake nini unanifwata nikiwanacho? Maana ake nini nikikosa unapatikana kwa msako? Maana ake nini ukizikusanya zako zakwako Za kwangu zakwako? Verse 2 Niambie maana ake nini Kua na wana shazi alafu ma snitch yani Mwamba ila anatabia za ki pisi? Sa we una pisi kali kwenye simu bebe bebe haziishi Ila hata moja ikija geto hautishi? Maana ake nini? Unakopakopa haulipi hata buku tano Inakufanya uanze zama kwa miti Na unavyopenda ma kiki Ikifika weekend tu vipi leo tunawakaah!?? Hebu lala hio buku utakula pipi Huyu mwana vipii?? Shit! Dunia ina mambo mengi bhana Me natafuta anauliza mbona unaspend sana Anaanza mpaka ku hate Kabisa anapata stress nnavyo flex Kama alinichangia kupata cash..Broh!? Chorus Sasa hio maana ake nini?(Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini) Hio maana ake nini? Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini) Hio maana ake nini? Verse 3 Oya weeh! Sasa hio maana ake nini? Kuniuliza unachokiona nini Unataka kusali hauna dini? Kipi we unataka? Huku kwetu hamuwezi fanya nyinyi Kifo cha mashaka Ka' Daudi Balali alivoenda chini Usinitizame chini Ukiona freshboys in a minute Ka'unajiamini fanya iwe Pini Ni kumaanisha waone tunafanya nini Wauni ka'umeweka pesa straight to the business amini From the start to the finish Nilichoskia kwamba wanajiuliza si tutatoka lini? Tulipofikia babu atuwezi kuanza kujiuliza nini Usiulize maana IAM wanajua nafanya nini Me ndo m'beba madini Verse 4 Yeah..Maana ake nini mshua ana mawe alafu una suffer ndo Nilivyoulizwa kipindi naanza kusaka so.. Maana ake nini unahonga alafu hutoi sadaka Na ibadani ukiwa unasali Kichwan unawaza papa tu (Mother*****!) So far nilivyo mademu wanahisi nazuga maana Naambiwa sijali hawaelewi najali muda Maana ake nini tu ghafla mwanangu unageuka yuda Kila nikitoa vyuma wanauliza lini ntachuja Chorus Sasa hio maana ake nini (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini) Hio maana ake nini!? Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini) Hio maana ake nini? Follow on Social Media : Link For #MaanaAkeNini? https://onerpm.link/642474913804 Follow : https://linktr.ee/freshboystz Instagram : / freshboystz Twitter : / freshboystz Facebook :https://www.facebook.com/profile.php?... Tiktok : https://www.tiktok.com/@freshboystz?i... Genius : https://genius.com/FreshBoys