У нас вы можете посмотреть бесплатно Hakuna Mungu Kama Wewe (There is No God like You)| Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama | Official Video или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hakuna Mungu Kama Wewe Wimbo ambao umepewa kibali na Mungu, kuimbika na kusikilizwa na watu wa kila rika, kila dini, mahali pote duniani, kwa utukufu wa Mungu. Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama, inawakaribisha wote kuimba kwa kumsifu Mungu kupitia wimbo huu. Iwe katika Furaha, Majonzi na hali yoyote ile, kumbuka HAKUNA MUNGU KAMA YEYE, ANAWEZA. ANGALIZO: Mtu yeyote anaruhusiwa kuuimba wimbo huu, bila kuvunja sheria za haki miliki. Lakini zaidi ala na maudhuri ya wimbo huu, yasitumike kwenye ujumbe tofauti na malengo yake. Imba, cheza, sifu lakini tunza maana na makusudi ya ujumbe wa wimbo huu. Hakuna Mungu Kama Wewe (There’s No God Like You) By: Kijitonyama Evangelical Choir Swahili: Hakuna Mungu kama Wewe Yahweh / Lesa / Kyala / Nguluvi / Katondo Unaweza, wa neema, wa baraka, wa upendo, yeh Hakuna Mungu kama Wewe Bwana ah (Repeat) English Translation: There’s no God like You Yahweh / Lesa / Kyala / Nguluvi / Katondo (different names for God in African languages) You are able, full of grace, of blessings, of love There’s no one like You, Lord Swahili: Sifa, sifa, sifa kwa Yesu — Amen Bariki — Amen Kama unapenda Yesu, sema Haleluya / Oh Messiah English Translation: Praise, praise, praise to Jesus — Amen Bless — Amen If you love Jesus, say Hallelujah / Oh Messiah Swahili: Hakuna Mungu kama Wewe Yahweh / Lesa / Mulungu / Nguluvi / Katondo Unaweza, wa rehema, wa huruma, wa uweza, wa faraja, yeh Hakuna Mungu kama Wewe Bwana ah English Translation: There’s no other God like You Yahweh / Lesa / Mulungu / Nguluvi / Katondo You are able, merciful, compassionate, powerful, comforting There’s no other God like You, Lord