У нас вы можете посмотреть бесплатно Mkemia Mkuu wa Serikali afanya ziara kwa wachimbaji wa dhahabu Kanda ya Ziwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko amefanya ukaguzi kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu kanda ya ziwa katika mkoa wa Mwanza Shinyanga na Geita. akiwa mkoani Geita Mkemia Mkuu wa Serikali amefika katika Kijiji cha Shenda, Kata ya Masumbwe Wilaya ya Mbogwe na kufanya ukaguzi kwenye mialo ya wachimbaji wa dhahabu huku akifanya ukaguzi katika mialo inayotumika kuchenjua dhahabu katika Kijiji cha Mwime, kilichopo Kahama mkoani Shinyanga Tufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii https://www.instagram.com/gcla_offici... https://www.facebook.com/gcla.tanzani... https://x.com/Gcla1895?t=VkwSWrVp6aGG... https://www.gcla.go.tz / @gcla_tv ©2025 GCLA