У нас вы можете посмотреть бесплатно KUTANGAZWA KWA PAROKIA YA BIKIRA MARIA MAMA WA KANISA GOBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Sherehe hizi zilianza katika viwanja vya Msimbazi center katika ibada ya upadrisho iliyoadhimishwa siku ya jumanne tar. 07/07/2020 (siku ya SABASABA) na Mhashamu Askofu mkuu Yuda Thadeus Rwaichi wa Jimbo kuu la Dar es salaam hapo jana. Hafla hiyo ilimalizikia Goba - Kunguru (BIKIRA MARIA MAMA WA KANISA) ambapo waamini wa parokia hiyo waliongozana hadi parokia mama ya BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA kwaajili ya kumshukuru Mungu kwa sala fupi na hatimaye kuelekea katika parokia yao mpya kwa shangwe na nderemo nyingi. Hakika ni furaha zilifurika kwenye nyuso za waamini hao kutokana na shauku kuu waliyonayo..... Usisahau kulike na kususcribe chaneli yangu kwa more updates #Dr.SagoErney