У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA UJENZI WA UWANJA WA KMC FC KAMA KWA MPAKA TU/MSIMU UJAO SIMBA NA YANGA KUTUMIA UWANJA HUU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Leo tarehe 29/5/2024Tumezungumza na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe, Songoro Khamisi Mnyonge juu ya Mwenendo wa KMC FC. Aidha Tumezungumza kuhusu hatua zilizofika kwenye ujenzi wa Uwanja wa KMC na Mhe Songoro ameeleza kuwa Mradi huo uko ukingoni kumalizika na kabla ya kutamatika kwa Mwaka huu Uwanja utaanza kutumika. Mhe Songoro Mnyonge pia ametupa mipango ya Manispaa kutumia maeneo yaliowazi "Open Space" Kutengeneza sehemu za Michezo ili kuwaleta wana Kinondoni karibu na Michezo.