У нас вы можете посмотреть бесплатно VIJIJI VYA LEPURKO NA KATA JIRANI YANUFAIKA NA MAJI YA CHANZO CHA MAJI YA ISIMINGOR или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shirika la FELOCI, kwa ufadhili wa shirika la maendeleo duniani UNDP, limefanya kazi kubwa katika kurudisha tabasamu la maji katika eneo la Losimingori, Monduli, Arusha. Mradi huu umelenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa jamii katika kipindi cha ukame na changamoto za hali ya hewa. jamii hiyo pi imepokea elimu kuhusu matumizi bora ya rasilimali za maji na kutunza vyanzo vya maji, FELOCI inapanua wigo wa upatikanaji wa maji na kuimarisha afya ya jamii. Hii inasaidia jamii ya Losimingori kujikwamua na madhara ya ukosefu wa maji, na pia kuhamasisha ufugaji wenye tija. Katika juhudi hizi, shirika linafanya ushirikiano na wanajamii, wafugaji, na viongozi wa mitaa ili kuhakikisha kuwa mradi unakuwa endelevu na unakidhi mahitaji halisi ya jamii. Hii ni hatua muhimu katika kusaidia jamii kuwa na ufunguo wa maendeleo endelevu na kuboresha maisha yao kwa ujumla. Mchakato huu unaleta matumaini na fursa mpya kwa watu wa Losimingori, na ni mfano mzuri wa jinsi ushirikiano kati ya mashirika yasiyo ya kiserikali na jamii unavyoweza kubadilisha maisha ya watu. Subscribe channel yetu kwaajili ya YAJAYO #mtazamekristotv @MtazameKristoTv