У нас вы можете посмотреть бесплатно SAUTI_YA_USHINDI_KWAYA_WAKOMA ( Lyrics _ official _ video ) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Luka 17:12-19 [12]Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali, [13]wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu! [14]Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika. [15]Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; [16]akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria. [17]Yesu akajibu, akanena, Hawakutakaswa wote kumi? Wale kenda wa wapi? [18]Je! Hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni huyu? [19]Akamwambia, Inuka, enenda zako, imani yako imekuokoa. CREDIT Song singers: SAUTI YA USHINDI KWAYA Songwriter &music : BARIKI KAMOTOKELA Lyrics video: POPE STUDIO Location Tanzania 🇹🇿 Dar es salaam_Temeke _ keko mwanga " B" Contact contact us Instagram: @sauti ya ushindi choir Facebook: Sauti ya ushindi kwaya threads : @sauti ya ushindi choir tiktok : ushindi tz Email: sautiyaushindi255@gmail.com WhatsApp:+255653210605