У нас вы можете посмотреть бесплатно 🟢MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA KUZALIWA CCM //🟢_YALIYO ANDALIWA NA JUMUIA YA WAZAZI MKOA WA MARA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
@Prince-Ema @Serengeticitytv @serengetihabari6981 @umoja wa wazazi @uwt @uvccm @ccm @mbunge serengeti. 2/02/2026 Maadhimisho ya Miaka 49 ya kuzaliwa chama Cha mapinduzi CCM toka 1977 Hadi Sasa 2026. Hii leo jumuia ya wazazi Mkoa wa Mara wamefanya Maadhimisho ya kuzaliwa Kwa chama Cha mapinduzi CCM na kutimiza miaka 49 toka 5/02/1977. Jumuia ya wazazi Mkoa wa Mara wamefanya Maadhimisho hayo katika viwanja vya Rigicha wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara. Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na maelfu ya wananchi wa Serengeti na nje ya wilaya ya Serengeti huku tukio hilo likiambatana na upandaji wa Miti zaidi ya miti 150,michezo,burudani na hamasa mbalimbali. Akizungumza mgeni rasmi katika tukio hilo Mfalme Julius, Ambae ndie Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi Mkoa wa Mara ametoa maagizo ya wazazi kupelewa watoto wao mashuleni,ametoa maagizo ya kukamatwa wanaume wote walio bebesha wanafunzi mimba na amevunja ndoa zote zinazo husu mwanafunzi mwisho ameagiza wachukuliwe hatua kali za kisheria wale wote watakao bainika kutoa ajira Kwa watoto mkoani Mara na Tanzania yote. Endelea kufatilia serengeti tv. imeandikwa na prince Ema.