У нас вы можете посмотреть бесплатно Zuchu - Kwaru | Tomezz Martommy | Alvin & the Chipmunks | Chipettes или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#zuchu #kwaru #tomezzmartommy #alvinandthechipmunks Roho ingekua na macho ingejionea Moyo haufanyi kificho ukiotea Mimi kipi nisonacho ungeongea Mwili wangu rojorojo nanyong'onyea aah Chungu nilichopika wamepakua wenzangu Huruma napukutishwa wamechukua donge langu Na kitabu changu cha mapenzi ukurasa umechana-chana Hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana Mpofu moyo wangu Ulishindwa oonaa Hukuandikwa wa kwangu Limenikaba nalitemaa Kwaru kwa kwaru kwaru Kachukua kisoda anaukwaruaa aah Kwaru kwa kwaru kwaru Moyo wangu unaumia aah Kwaru kwa kwaru kwaru Ye kwa nguvu ana ukwaruaa Kwaru kwa kwaru kwaru Jamani moyo wangu unaumia aah Langu tatizo na chunda najimaliza Mi nakesha kumuwaza Na weweseka lake jina oooh jina Basi kwa unyonge najikaza niache kulia Maana kwake bahati sina (oooh sina) Maumivu ameipora furaha yangu (uuh) Amekwenda nayoo na Zangu mbivu zimeniozea hasara kwangu (oooh) Yatapita hayo Mpofu moyo wangu ulishindwa ona Hukuandikwa wa kwangu Limenikaba nalitemaa Kwaru kwa kwaru kwaru Kachukua kisoda anaukwarua aaah Kwaru kwa kwaru kwaru Moyo wangu unaumia Kwaru kwa kwaru kwaru Aah ye kwa nguvuuu anaukwarua Kwaru kwa kwaru kwaru Jamaniii moyo wangu unaumia @officialzuchu #kwaru ©2022 #tomezzmartommy #alvinandthechipmunks