У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI ULEGA ATOA MASAA 72 MKANDARASI BARABARA YA UBUNGO KIMARA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza mkandarasi (SRBG) anayetekeleza mradi wa upanuzi wa Barabara ya Ubungo - Kimara kuongeza kasi kwa kufanya kazi usiku na mchana. Waziri Ulega ametoa agizo hilo leo Jumapili, Desemba 15, 2024, wakati wa ziara yake katika mradi wa ujenzi wa awamu ya tatu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) na upanuzi wa barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa Waziri Ulega, mkandarasi huyo yupo nyuma ya ratiba ya utekelezaji wa mradi, akiwa ametimiza asilimia 26 pekee ya kazi badala ya asilimia 52 kama ilivyoainishwa kwenye mkataba. "Mkandarasi amezembea sana. Nimempa siku tatu ahakikishe anaweka taa za barabarani ili kufanya kazi usiku na mchana. Nitarudi usiku kukagua kama kweli wanatekeleza agizo hili," amesema Waziri Ulega. Waziri huyo pia amesisitiza kuwa kutokutekelezwa kwa maagizo hayo kutasababisha kuchukuliwa hatua kwa wahusika wote walio chini ya mamlaka yake