У нас вы можете посмотреть бесплатно UN YAUNGA MKONO TUME YA UCHUNGUZI TANZANIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Kamishna wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Volker Turk, amepongeza hatua ya Tanzania ya kuanzisha Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 kama hatua muhimu inayojali haki za binadamu. Pongezi hizo zimetolewa jijini Geneva, Uswisi, wakati wa kikao cha 61 cha baraza hilo, ambapo Kamishna Turk alikuwa akiwasilisha taarifa inayoangazia maeneo yenye changamoto za migogoro duniani na juhudi za utatuzi zinazochukuliwa na mataifa mbalimbali. Tume hiyo ya uchunguzi wa uvunjifu wa amani ilianza majukumu yake rasmi mwezi Desemba 2025 kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32) ili kubaini ukweli wa kilichojiri. Hatua hiyo ya Serikali imetajwa na Umoja wa Mataifa kama kielelezo cha uwajibikaji na utawala wa sheria katika kulinda misingi ya amani na usalama wa raia wake. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg