У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwaka na Miezi Mitatu Tangu Kuuwawa kwa Ali Kibao, Mtoto Wake Afunguka Usiyoyajua Kuhusu Baba Yake или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Septemba 6, 2025, ilitimia mwaka mmoja kamili tangu mauaji ya kikatili dhidi ya Mohammed Ali Kibao, kada wa chama cha upinzani CHADEMA. Kibao alitekwa akiwa safarini kuelekea nyumbani kwake Tanga, kabla ya mwili wake kupatikana akiwa amekufa siku ya pili, maeneo ya Ununio, Dar es Salaam. Kwenye mahojiano haya maalum na The Chanzo, mtoto wa Mzee Kibao, Mohammed, anafunguka mengi kuhusu baba yake huyo, huku akiendelea kusisitiza umuhimu wa kujua nini haswa kilitokea, pamoja na uwajibikaji kwa wahusika. Mohammed anaeleza jinsi alivyomfahamu mzee wake huyo, kumbukumbu zake za mwisho naye, na namna tukio hilo lilivyombadilisha yeye binafsi kama mtu Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.