У нас вы можете посмотреть бесплатно Namna rahisi ya kutengeneza dawa ya asili ya kufukuza wadudu na kuimarisha mazao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu ujifunze hatua kwa hatua jinsi ya kuandaa dawa ya asili ya “Ash Brew” yenye ufanisi wa kufukuza wadudu waharibifu kama bito, wadudu mafuta na nzizi wa matunda ambao hushambulia mazao mbalimbali. Mbali na kudhibiti wadudu, Ash Brew pia hutumika kama busta ya asili, kusaidia mazao kama maharage, mahindi na mazao mengine ya muda mfupi kukua kwa afya na nguvu zaidi. 🔹 Faida za Ash Brew: ✔️ Hulinda mimea dhidi ya wadudu waharibifu ✔️ Huongeza nguvu za mazao kustahimili mashambulizi ✔️ Ni suluhisho la asili, rafiki kwa mazingira Tazama video hadi mwisho ujifunze jinsi ya kuandaa na kutumia dawa hii kwa usahihi! #AshBrew #KilimoHai #DawaAsili #KilimoBora