У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKALI YA WAZIRI PAUL MAKONDA BAADA YA KUAPISHWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameahidi kuendesha shughuli za wizara kwa kasi mpya, wakati leo akikabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Profesa Palamagamba Kabudi. Amehimiza watumishi wote kuhakikisha wanasimamia majukumu yao kwa weledi na ufanisi. Aidha, Makonda ameahidi kuwasilisha ombi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuidhinisha fedha za kati ya shilingi bilioni moja hadi bilioni mbili kwa vijana wanaotengeneza maudhui kwenye mitandao ya kijamii, ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi. #samiasuluhuhassan #paulmakonda #tanzania #wazirimkuu