У нас вы можете посмотреть бесплатно MGOGORO WAIBUKA KANISA LA AGGCI ASKOFU MKUU AMTENGUA KTIBU WAKE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Askofu Mkuu wa Kanisa la AGGCI(Assemblies of God Gospel Church International)Dkt Asumwisye Mwaisabila amemtengua rasmi Katibu Mkuu wa Kanisa hilo Dkt Robert Nathaniel Ngai kwa kuitisha mkutano wa uchaguzi kinyume cha utaratibu Agosti 28,2025 Jijini Dodoma. Akiongea na Kituo hiki Askofu Mkuu Dkt Asumwisye Mwaisabila amesema yeye kama kiongozi wa Kanisa hakumtuma kuitisha mkutano huo Jijini Dodoma huku Askofu Jacob Chacha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Kanisa la AGGCI amesema Kitendo kilichofanywa na Katibu Mkuu ni uasi ndani ya Kanisa hivyo Bodi inabariki kufukuzwa kwake Kwa upande wake Katibu Mkuu Dkt Robert Ngai akiongea kwa njia ya simu amesema uchaguzi ulioitishwa Agost 28,2025 Jijini Dodoma ni takwa la serikali kuitisha uchaguzi katika kipindi kisichozidi siku mia moja ishirini tangu Kanisa kupatiwa usajili wake Kanisa la AGGCI limeanzishwa baada ya kujiondoa kutoka Kanisa la EAGT ambapo baadhi ya waumini Kanisa mama na wengine kujiunga kanisa jipya.