У нас вы можете посмотреть бесплатно SPORTS AM 4/11/2018: Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' kafunguka yote kuhusu soka lake или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mfungaji bora za mashindano ya Chalenji ya mwaka 1981, Zamoyoni Mogella anafunguka mengi kuhusiana na soka lake na kisa cha kuisaliti timu aipendayo ya Simba SC pale alipoamua kuhamia kwa watani wa jadi, Yanga SC. Unajua kuwa huyu ndiye, GOLDEN BOY? Je, ukweli ni upi kuhusu lina na nani alimpa jina la Golden Boy, Mogella ana kumbukumbu inayokinzana na ushahidi alionao Bin Zubeiry, ipi ni sahihi? Mogella alimpiga mwandishi James Nende? Tukio lilikuwaje? Mogella anafunguka yote hayo. Ligi Kuu ya Tanzania nayo haijaachwa kando, wachambuzi wako Anuary Mkama, Amir Mhando, Andrew Kingamkono wakiwa na Mahmoud Zubeiry a.k.a Bin Zubeiry wakiyachambua yale yaliyopata nafasi wikiendi hii kwenye Ligi Kuu. Sports AM huruka kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 1:30 asubuhi ndani ya AzamSports HD.