У нас вы можете посмотреть бесплатно MACHINGA WAANDAMANA TUNDUMA WAKIDAI MATUTA BARABARANI - ''WANATAKA WATUUE''... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MACHINGA WAANDAMANA TUNDUMA WAKIDAI MATUTA BARABARANI - ''WANATAKA WATUUE''... Wafanyabiashara wadogo(Machinga)Wanefunga Barabara ya Tunduma Sumbawanga katika eneo la Majengo wakiishinikiza Serikali Kujenga matuta . Machinga hao wamefikia hatua hiyo baada ya ajali nyingi kutokea katika eneo Hilo ambalo wanafanya biashara zao kwa Muda wakisubiri ujenzi wa Soko la wamachinga. Mkuu wa wilaya ya Momba Fakii Lulandala amewataka Machinga kuwa watulivu wakati Serikali kupitia Tanroad ikiangali namna ya kuweka kivuko katika eneo Hilo. Aidha Lulandala amesema barabara hiyo haihitaji matuta kwani Tanroad wamepewa barua ya kuondoa matuta katika Barabara hiyo badala yake amemuamiru Ocd wilaya kuongeza Askari wa usalama Barabarani na kuamuru madereva wote kutembea mwendo mdogo ili kupunguza ajali ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline