У нас вы можете посмотреть бесплатно Semina ya Maandalizi ya Hijjah kwa Mahujaj | Aziziya - Manazil Hotel | M2 Travel или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tukiwa katika hoteli ya Manazil huko Aziziya, taasisi ya M2 Travel tumewakusanya mahujaj wetu kwa semina maalum ya maandalizi ya ibada ya Hijjah. Semina hii imefanyika baada ya kumaliza ibada ya Umrah na kuhamia kutoka hoteli ya Makkah Tower. 🎯 Malengo ya semina: Kuwaandaa mahujaj kimwili, kiroho, na kiutendaji kwa siku za Hijjah Kuelewa utaratibu wa safari ya Mina, Arafah, Muzdalifah na Tarwiyah Kujua mambo ya msingi na tahadhari muhimu wakati wa Hijjah 🌙 Hijjah ni safari ya kipekee — tazama video hii ujifunze na ujiandae ipasavyo kutimiza ibada hii tukufu. 📌 Imeandaliwa na: M2 Travel – Taasisi ya kuaminika ya Hajj & Umrah 📍 Mahali: Aziziya, Manazil Hotel 📅 Tarehe: 1 june 2025 👉 Usisahau kusubscribe, kulike, na kushare kwa wenzako wanaotarajia kuhiji! #M2Travel #Hijjah2025 #SeminaYaHijjah #HajjPreparation #Aziziya #ManazilHote