У нас вы можете посмотреть бесплатно Sehemu ya Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Mbilu kwenye Ibada ya Mwisho wa Mwaka 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ibada ya Mwisho wa Mwaka kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Ibada hii iliongozwa na Neno Kuu lisemalo:“Bwana ametutendea makuu.” Ibada hii ilifanyika KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Jimbo la Pwani, Usharika wa Kana na kuongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu. Tarehe 31/12/2025. Karibu tushiriki pamoja katika ibada hii ya shukrani, tafakari na matumaini mapya tunapokabidhi mwaka unaoisha na kuukaribisha mwaka mpya mbele za Bwana 🙏 Masomo. Zaburi. 65: 7-13 Ebr:13:8 Lk. 17: 11-19 TMW. 262 Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii INSTAGRAM - / elctned FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese YOUTUBE - / KKKT DKMS Online TV WEBSITE: www.elctned.org KWA MAONI NA USHAURI: Simu : +255 743 399 798.