У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING: Bodi ya Mikopo Yatambulisha Mfumo Mpya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BREAKING: Bodi ya Mikopo Yatambulisha Mfumo Mpya Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu Tanzania (HESLB) imejiunga na mfumo wa kukusanya mapato wa serikali wa General Electronic Payment Get Away ikiwa na lengo la kukusanya madeni kwa Ufanisi. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za bodi hiyo Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo Dr Abdul-Razaq Badru amesema kuanzia sasa malipo yote kwenda bodi ya mikopo kwa mfumo huo unaofuatwa na taasisi mbalimbali za serikali. Aidha Dk Badru amesema katika kipindi cha Julai- Desemba 2018 wamekusanya jumla ya Shilingi Bilioni 94.01 kutoka kwa wadaiwa na kuvuka lengo la kukusanya shilingi bilioni 71.4 katika kipindi hicho. Kwa upande mwingine mwakilishi kutoka Wizara ya Fedha Bazil Baligumya amesema kuwa mfumo huo utasaidiwa kurahisisha ukusanya wa madeni kutoka kwa wadaiwa na kuomba watumie benki zilizosajiliwa kwa ajili ya kufanya malipo hayo. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitte www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB