У нас вы можете посмотреть бесплатно MASTERCLASS:Siri za Mafanikio Katika Kilimo cha Nyanya:Mwongozo Kamili Kutoka Wataalam wa Shambani! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DESCRIPTION (Maelezo ya Video) Leo tunakuletea mafunzo ya kipekee kutoka kwa mtaalamu wa kilimo cha nyanya, akielezea kwa undani hatua zote muhimu kuanzia kuandaa shamba, kupanda miche, utunzaji, udhibiti wa magonjwa na wadudu, hadi mavuno bora. Video hii ni mwongozo kamili kwa wakulima wote wanaotaka kulima nyanya kwa tija na faida kubwa. Utajifunza mbinu bora za kisasa, matumizi sahihi ya mbolea, jinsi ya kuchagua miche bora, na namna ya kuongeza mavuno bila gharama kubwa. 💡 Tazama hadi mwisho ujifunze siri ambazo wakulima wengi hawasemi! Usisahau kusubscribe, ku-like, na kushare video hii kwa wakulima wengine ili wapate elimu hii muhimu. 📍Video hii imerekodiwa shambani kwa vitendo – elimu ya kweli kutoka kwa mtaalamu wa nyanya! 🔖 HASHTAGS #KilimoChaNyanya #KilimoBora #WakulimaWaKisasa #ElimuYaKilimo #AgribusinessTanzania #TomatoFarming #NyanyaZaKisasa #KilimoBiashara #TanzaniaAgriculture #MkulimaMjasiriamali