• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu скачать в хорошем качестве

Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu 10 месяцев назад

michael kamukulu

malengo

mindset

lenzimindset

lenzi

mafanikio

pesa

hatua

maendeleo

biashara

utajiri

akiba

wekeza

uwekezaji

matokeo

uhuru wa kifedha

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu

JINSI ya kuendelea na Maisha baada ya kuachwa na watu Maisha yanaendelea hata baada ya kuachwa! Katika video hii ‪@lenzi.michaelkamukulu‬ anazungumzia jinsi ya kujiponya, kujijenga upya kujiamini, na kuendelea na maisha baada ya kuachwa na watu unaowapenda kumbuka Kuachwa sio mwisho wa maisha, ni mwanzo wa kujijua upya! Zifuatazo ni baadhi ya sababu za watu kukuacha👇👇👇 1. Umebadilika Maisha ni mabadiliko, na ni kawaida kwa mtu kubadilika kutokana na uzoefu, mafanikio, changamoto au maamuzi ya ndani. Hata hivyo, si kila mtu aliye karibu na wewe atapokea mabadiliko yako kwa urahisi. Wengine wanaweza kuona kuwa huendani nao tena, au wanaona huna tena ule "muunganiko" mliozoea. Badiliko lako linaweza kuwa la kiroho, kitabia, au hata kimaisha—na hilo pekee linaweza kuwatisha au kuwatenga baadhi ya watu. 2. Hauna Jipya Katika mahusiano yoyote, watu hutarajia ukuaji au maendeleo. Wakati mwingine, watu huanza kujiondoa polepole wanapohisi hakuna tena kitu kipya wanachojifunza au kupata kutoka kwako. Inaweza kuwa huchangii tena mazungumzo ya maana, huonyeshi jitihada mpya, au hauwasaidii tena kiakili, kihisia, au hata kiroho. Hili linauma, lakini ukweli ni kwamba baadhi ya watu hujihusisha nawe kwa sababu ya kile wanachopata, na sio kwa vile wewe ni nani tu. 3. Wao Wamebadilika Wakati mwingine, si wewe uliyebadilika—ni wao. Maisha yanawapitia, wanakutana na watu wapya, wanapitia maumivu au mafanikio ambayo yanabadilisha mitazamo yao. Mtu ambaye alikupenda sana jana, anaweza asiwe na hisia hizo tena leo. Hili linaweza kutokea bila kosa lako. Ni mchakato wa maisha unaotufundisha kwamba kila mtu ana safari yake, na si wote watakaotembea na sisi hadi mwisho. 4. Mawasiliano Yamevunjika Mawasiliano ni uti wa mgongo wa mahusiano yoyote. Mara nyingi watu huondoka kimya kimya baada ya mawasiliano kupungua au kupotea kabisa. Kukosa kuelewana, kutozungumza kwa uwazi, au kutoshirikishana mambo muhimu kunaweza kuleta umbali wa kihisia, ambao hatimaye husababisha watu kujiondoa. Hata watu waliokuwa karibu sana wanaweza kuwa wageni kwa sababu tu ya ukimya uliodumu kwa muda mrefu. Hizi ni baadhi tu ya sababu. Zipo nyingi zaidi ambazo zinaweza kuwa sababu ya watu kuondoka kwako. Fuatilia video hii hadi mwisho ili ujifunze kwa undani, ujipime, na ujue jinsi ya kuendelea mbele bila kuwa na maumivu au hatia ya kupitiliza *** Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Ungana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu na @lenzimeacademy ili uweze kupata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku. ——————————————— Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo: 1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching) 2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching) 3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development) Mawasiliano yetu: Simu: +255 752 465 039 Baruapepe: lenzimindset@gmail.com * * Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk #HatuaMojaMbeleKilaSiku #businessmicha elkamukulu #lenzimindset #lenziacademy TIME STAMP 00:00 Sababu za watu kuondoka kwako 1:15 umebadilika 2:32 Hauna jipya 3:50 Wao wamebadilika 4:33 Kuna watu au vitu vipya 5:40 Mawasiliano 6:50 Ni wakati wao wa kuondoka 8:52 Tambua sababu za wao kuondoka 9:21 Fanya tathimini 10:05 Boresha Mawasiliano 11: 41 Boresha tabia zako 12:39 omba msamaha 13:05 Closing

Comments
  • Jinsi ya Kuacha Tabia Ambazo Zinakusumbua na Huzipendi | Michael Kamukulu 10 месяцев назад
    Jinsi ya Kuacha Tabia Ambazo Zinakusumbua na Huzipendi | Michael Kamukulu
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini 6 месяцев назад
    Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • How To Stop Overthinking Everything | The QUICKEST Way to Take Back Control Motivational Speech 27 минут назад
    How To Stop Overthinking Everything | The QUICKEST Way to Take Back Control Motivational Speech
    Опубликовано: 27 минут назад
  • HECHE BALAA, AUWASHA MOTO MBELE YA MAHAKAMA KESI YA LISSU BILA HURUMA, 3 часа назад
    HECHE BALAA, AUWASHA MOTO MBELE YA MAHAKAMA KESI YA LISSU BILA HURUMA, "WANATAKA KUFUTA CHAMA CHETU"
    Опубликовано: 3 часа назад
  • DALILI 7 UMEZALIWA KUWA MKUBWA LAKINI MAZINGIRA YANAKUBANA!¡ 11 дней назад
    DALILI 7 UMEZALIWA KUWA MKUBWA LAKINI MAZINGIRA YANAKUBANA!¡
    Опубликовано: 11 дней назад
  • 😭 IMESIBITISHWA RASMI WILLY NGOMA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA SHAMBULIZI LA DRONE. UKUWE HUU HAPA 59 минут назад
    😭 IMESIBITISHWA RASMI WILLY NGOMA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA SHAMBULIZI LA DRONE. UKUWE HUU HAPA
    Опубликовано: 59 минут назад
  • NGUVU NA FAIDA YA UKIMYA / Bienvenu  WANZIRE 4 года назад
    NGUVU NA FAIDA YA UKIMYA / Bienvenu WANZIRE
    Опубликовано: 4 года назад
  • KAULI YA MULIRO KUHUSU TAARIFA ZA MAFWELE 1 час назад
    KAULI YA MULIRO KUHUSU TAARIFA ZA MAFWELE
    Опубликовано: 1 час назад
  • KAKA YAKE POLEPOLE AMEKUWA KWENYE SHIDA BAADA YA HII KAULI YAKE 6 часов назад
    KAKA YAKE POLEPOLE AMEKUWA KWENYE SHIDA BAADA YA HII KAULI YAKE
    Опубликовано: 6 часов назад
  • MAMBO 4 YATAKAYOFANYA MWANAMKE UPENDWE ZAIDI@Dr.MahindaSaikolojiaYaMaisha 2 недели назад
    MAMBO 4 YATAKAYOFANYA MWANAMKE UPENDWE ZAIDI@Dr.MahindaSaikolojiaYaMaisha
    Опубликовано: 2 недели назад
  • DKT. NSHALA AONGEA KWA UCHUNGU 'JAJI MKUU AIPANGIE MAPEMA HII KESI' 1 час назад
    DKT. NSHALA AONGEA KWA UCHUNGU 'JAJI MKUU AIPANGIE MAPEMA HII KESI'
    Опубликовано: 1 час назад
  • 🔴#Live: MAJIBU ya KAMANDA MULIRO KUHUSU MAFWELE - WATUHUMIWA 46 WALIOKAMATWA DAR - WAPO VISHANDU... Трансляция закончилась 4 часа назад
    🔴#Live: MAJIBU ya KAMANDA MULIRO KUHUSU MAFWELE - WATUHUMIWA 46 WALIOKAMATWA DAR - WAPO VISHANDU...
    Опубликовано: Трансляция закончилась 4 часа назад
  • USIHUKUMU KWA HARAKA - JIPE MUDA (HOLD YOUR JUDGEMENT) 1 год назад
    USIHUKUMU KWA HARAKA - JIPE MUDA (HOLD YOUR JUDGEMENT)
    Опубликовано: 1 год назад
  • ONGEZA USHAWISHI LWA KUZUNGUMZA MBELE ZA WATU. Tumia mbinu hizi by Rodrick Nabe 1 год назад
    ONGEZA USHAWISHI LWA KUZUNGUMZA MBELE ZA WATU. Tumia mbinu hizi by Rodrick Nabe
    Опубликовано: 1 год назад
  • Ilinichukua Miaka 50+ Kutambua Nitakayokuambia Ndani ya Dakika 5… 8 дней назад
    Ilinichukua Miaka 50+ Kutambua Nitakayokuambia Ndani ya Dakika 5…
    Опубликовано: 8 дней назад
  • ALIOLEWA NA MTU ASIYEMPENDA I HAYA YAKATOKEA I SIRI YA MOYO EP 2 10 дней назад
    ALIOLEWA NA MTU ASIYEMPENDA I HAYA YAKATOKEA I SIRI YA MOYO EP 2
    Опубликовано: 10 дней назад
  • UKIVUMILIA haya, utadharauliwa maisha yako yote!. (Acha mara moja!) 2 недели назад
    UKIVUMILIA haya, utadharauliwa maisha yako yote!. (Acha mara moja!)
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Nilikufa kwa Dakika 4. Hivi Ndivyo Nilivyoona... 7 дней назад
    Nilikufa kwa Dakika 4. Hivi Ndivyo Nilivyoona...
    Опубликовано: 7 дней назад
  • SAIKOLOJIA YA WATU WANAOCHUKIA BIRTHDAY ZAO (Hii Ndiyo Sababu) 1 месяц назад
    SAIKOLOJIA YA WATU WANAOCHUKIA BIRTHDAY ZAO (Hii Ndiyo Sababu)
    Опубликовано: 1 месяц назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5