У нас вы можете посмотреть бесплатно KIMEUMANA: ASKOFU MKUU TEC ATOA TAMKO MSIMAMO WA TEC BAADA YA HOTUBA YA RAIS SAMIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania ( TEC ) Askofu Wolfgang Pisa ametoa tamko Kali la kulaani vikali mauaji ya watanzania ya October 29, 2025 siku Moja baada ya rais wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan Kuhutubia Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na kuzungumzia mauji ya watanzania yaliyotikea kuanzia October 29, 2025 na kudai kuwa tume imeundwa kuchunguza vurugu zilizotokea October 29, 2025. TEC wamelaani vikali na kuelezea sababu za watu kuandamana lakini pia matumizi ya nguvu kupita kiasi ya vyombo vya ulinzi na usalama na kupendekeza vyombo vya kimataifa kufanya uchunguzi wa huru na waki na serikali ya Tanzania iwe tayari kupokea ripoti hiyo ya uchunguzi. #TEC #raissamia #raissamiasuluhuhassan #kanisakatoliki