У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais Ruto akabithi rasmi uongozi wa EAC kwa Rais Museveni wa Uganda или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais William Ruto amekabidhi rasmi uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda baada ya muhula wake wa mwaka mmoja kukamilika kama mwenyekiti wa Jumuiya hiyo. Kwa mujibu wa utaratibu uliowekwa, afisi ya mwenyekiti wa EAC hubadilishwa kila mwaka kwa mzunguko wan chi wanachama. Hafla hiyo imefanyika Mjini Arusha Tanzania katika mkutano wa 25 wa kilele wa marais wa mataifa wanachama cha Jumuiya ya Afrika Mashariki.