У нас вы можете посмотреть бесплатно MAELEZO ZAIDI UJENZI WA HOTELI YENYE HADHI YA NYOTA 5 JIJINI MWANZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NA ALBERT G.SENGO/MWANZA Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Mwanza sasa kuendelezwa, likitarajiwa kukamilika mnamo mwezi Juni mwakani 2024. Baada ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ukaguzi wake katika ziara yake ya terehe 14 juni 2023 jijini hapa, Masha John Mshomba ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF anafunguka zaidi kuhusiana na uendelezwaji huo wa ujenzi ikiwa ni pamoja na mikakati iliyowekwa.