У нас вы можете посмотреть бесплатно "RAIS SAMIA ATOA NDEGE MPYA ZA MAFUNZO KWA JESHI LA WANANCHI (JWTZ), YAWEKA HISTORIA!" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: RAIS wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya marubani pamoja na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) jijini Dar es Salaam. Hatua hii ni sehemu ya jitihada za serikali kuimarisha uwezo wa jeshi hilo katika mafunzo na usafiri, kwa lengo la kuboresha ufanisi wa operesheni zake. Ndege hizo za mafunzo zinalenga kusaidia marubani wapya kupata ujuzi muhimu kabla ya kushika majukumu ya juu zaidi katika jeshi. Mabasi hayo yatawezesha usafiri wa wanajeshi na vifaa katika maeneo mbalimbali. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09