У нас вы можете посмотреть бесплатно TAARIFA YA HABARI SAA 6 MCHANA | 10.03.2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Habari kuu mchana wa leo, kitaifa na kimataifa pamoja na Ujumbe kupitia Waza Wazua. MIONGONI MWA TAARIFA TULIZONAZO NI PAMOJA NA Baadhi ya wakulima wa zao la kahawa wilayani Karagwe Mkoani Kagera walalamikia kukosa miche ya zao hilo katika msimu wa upandaji. Serikali yazifungia kadi zaidi ya 12,000 za huduma za bima ya afya baada ya kubainika kuwapo kwa udanganyifu katika matumizi yake. NA Tume Huru ya Haki za Binadamu nchini Burundi (CNDH) yasema kuwa kuna haja ya kuitazama upya sheria wasichana wanaopata mimba wakiwa shuleni. #rkhabari #radiokwizera #2026aminia _________________________________________ Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/ LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE © All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2026