У нас вы можете посмотреть бесплатно Historia ya Ephagro Msele anayedaiwa kuawa na mkewe или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakati mamia ya waombolezaji wakikanyagana msibani kwa Ephagro Msele(43) anayedaiwa kuuawa na mkewe Beatrice Elias(36) wamelaani tukio hilo na kusema kilichofanyika ni kitendo ambacho hakipaswi kufanywa na wanajamii kwani kimeacha majeraha yasiyopona kwenye familia. Akihubiri kanisani Paroko Seraphin Kilawe, amesema kifo cha Msela kiwe somo kwa wanafamia ambao wamekuwa wakichukua maamuzi magumu. Amesema Msela alikuwa na upendo ambao hauna mpaka kwa watu wote na kwamba kama kanisa wamepoteza muumini na kuongeza ambaye alikuwa ni mpambanaji. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi, amesema mwanajamii unapopatwa na jambo jaribu kushirikisha wengine badala ya kubaki nalo mwenyewe. Akisoma historia ya marehemu, Colman Msele ambaye ni mdogo wake, alisema watamkumbuka na kumuenzi kwa mengi kwa kuwa alikuwa na upendo kwa watu wote kutokana na unyenyekevu wake.