У нас вы можете посмотреть бесплатно Machimbo Mapya Yagunduliwa Arusha! Madini Ya Kuokota Tu! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Machimbo Mapya Yagunduliwa Arusha Madini Ya Kuokota Tu! Wachimbaji wa dogo wa madini Mkoani Arusha katika wilaya ya Meru wamegundua eneo ambalo inasadikika kuwepo kwa madini ambayo bado hayajafahamika ni madini ya aina gani. Mwenyekiti wa kijiji wa eneo hilo la Low State lilopo kata ya Ng'ombe akizungumza na Global Tv amesema eneo hilo limeanza kufurika idadi ya watu wengi kutoka maeno mbali mbali ya nchi . Viongozi wa chama cha Mapinduzi Wilaya ya Meru wamesha fika katika eneo hilo na kuwaahidi wachimbaji wadogo waliopo katika eneo hilo kuwa serikali lazima ita wajali na kuwapa kipaumbele cha kuchimba madini hayo baada ya kufanya uchunguzi na kubaini uhakika wa uwepo wa Madini Hayo. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.