У нас вы можете посмотреть бесплатно MLINZI WA NYUMBA YA JAJI NA MKEWE WAUAWA MBEYA, MIILI YAWEKWA KWENYE KIROBA NA KUTUPWA, RC AWAKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mussa Mmilla kwa tuhuma za mauaji ya kikatili kwa kumpiga nondo Samson Ndavi aliyekuwa mlinzi na mkewe Christina Mwakilembe kwenye nyumba ya marehemu Jaji Bethuell Mmilla eneo la Forest Mpya Jijini Mbeya. Kamishina msaidizi mwandamizi wa Jeshi la Polisi ambaye ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ulrich Matei alisema mlinzi aliuawa february 27 mwaka huu kwa nia ya kumiliki mali za Jaji na baadae mwili kuutupa kwenye msitu wa TFS. Machi 3 mwaka huu Mussa kwa kushirikiana na wenzake walimuua mke wa mlinzi kisha kumfungia ndani ambapo Mussa alikamatwa katika jaribio la kubeba mizigo kwa kutumia gari.