У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Asubuhi | 19.12.2025 | Swahili News или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu leo : -Wakuu wa Umoja wa Ulaya washindwa kuafikiana namna ya kuzitumia mali za Urusi kuisaidia Ukraine. -Marekani yawawekea vikwazo majaji wawili zaidi wa Mahakama ya ICC. -Vurugu zazuka nchini Bangladesh baada ya kifo cha kiongozi wa vijana. -Wanaume saba wakamatwa mjini Sydney wakihusishwa na washambuliaji kwenye ufuo wa Bondi. -Umoja wa Mataifa wamchagua Rais wa zamani wa Iraq Barham Salih kuwa mkuu wa shirika la wakimbizi. #DWKiswahili #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.