У нас вы можете посмотреть бесплатно Gazeboni - Extended Version - Tye Muzik или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Banger mpya inayosimulia maisha ya Crew kwenye Gazebo - mahali ambapo kila kitu kinatokea! Sometimes ni kama church, sometimes ni kama bar, lakini daima ni home ya ma plans na familia. Katika ngoma hii, Tycoon anaonyesha picha kamili ya Gazebo- place ambayo ni balaa kwa namna nzuri! Hapa ndio Wede, Magnus, Kunja the Don, Lavino Brown, Nick Mwambino, GB, na Mzee Mzee Jeshi wanakutana kupanga, kucheka, na kujenga future. Gazebo ni mahali pa contradictions - kuna wale wanakuja kuomba, wengine ku make cash, wengine wanatafuta ushuda baada ya heartbreak, na wengine wanatafuta distance kurudi na kahoda. Kuna kona ya maplayer wanaomba baraka, kuna kona ya matos wanakumbuka struggle, na kuna wale kimya lakini roles zao loud! Hii ni ngoma ya familia, form, na unity. Si tukelele za leo - ni movement ya watu wanainuana, wanapanga, na wanachora future pamoja. Ukidunda unainuliwa, ego haifanyi kazi hapa! #Tanzania #Africa #bongofleva #Afrobeats #Ragger #AfricanPride #Swahili #AfricanMusic #Inspiration #Strength #Shorts, #YouTubeShorts, #Viral, and #Trending