У нас вы можете посмотреть бесплатно SEKTA MBALIMBALI ZAZIDI KUIMARIKA RUVUMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema ushirikiano anaoupata kutoka kwa viongozi wa chama, serikali, vyombo vya usalama, taasisi za umma na binafsi pamoja na wananchi kwa ujumla umechangia kwa kiasi kikubwa kuimarika kwa sekta mbalimbali katika mkoa huo. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Ushauri la Mkoa kilichofanyika katika ukumbi wa Songea Club mjini Songea, RC Ahmed ameeleza kuwa vijiji vyote 551 vya mkoa vimeunganishwa na umeme, huku vitongoji 2,838 kati ya 3,693 vikiwa na huduma hiyo sawa na asilimia 76. Katika sekta ya maji, upatikanaji vijijini umeongezeka kutoka asilimia 75 hadi 77, na mijini umefikia asilimia 96.