У нас вы можете посмотреть бесплатно MILANGO 9 YA MAISHA YENYE KIBALI || EV. WILSON AUGUSTINE || SGIC_BARIADI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Salvation Gospel International Church (SGIC) ni huduma ya Kikristo iliyoasisiwa na Mtumishi wa Mungu Ev. Wilson Augustine, ikihubiri injili kamili ya wokovu isiyogoshiwa, uponyaji wa kimwili na kiroho na urejesho wa mahusiano na Mungu kupitia toba na badiliko la kweli. Kanisa linawajenga waamini kiroho, kukuza vipawa, karama na huduma na kuaandaa viongozi wenye maono kupitia nguvu ya Roho Mtakatifu. Msingi mikubwa ya huduma ni maombi, utakatifu, mahusiano binafsi na Mungu, ukaribu na Mungu, kuhubiri injili kwa waliopotea, ujazo wa nguvu za Roho Mtakatifu. Kwa maombi, maombezi na ushauri wasiliana nasi kupitia mawasiliano haya Mawasiliano: +255(0)749636618 / @salvation_gospel Links Tiktok tiktok.com/@sgic_church?is_from_webapp=1&sender_device=pc Facebook facebook.com/me Instagram threads.com/@sgic_2023?xmt=AQF0Cafqlusv1UGCzz-AeZJpSVFK9f80iE Salvation Gospel International Church (SGIC)