У нас вы можете посмотреть бесплатно Wahamiaji haramu 51 raia wa Ethiopia wakamatwa Dodoma или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na jeshi la uhamiaji limekamata wahamiaji haramu 51 waliongia nchini bila kibali. Wahamiaji hao raia wa Ethiopia walikamatwa Disemba 27 kwenye kizuizi cha Bereko wilayani Kondoa walikokuwa wanapita kutokea mikoa ya Arusha na Manyara majira ya saa 3 usiku. Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga alisema tukio hilo limebainika katika doria ya jeshi la polisi katika kuimarisha ulinzi na usalama ndani na kwenye mipaka ya Mkoa huo kuelekea katika kufunga mwaka 2021.