У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANAFUNZI ANAETUMIA MIGUU KUNDIKA AKWAMA KWENDA SHULE, AOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hamisi Haji (21) Mwanafunzi mwenye ulemavu wa Viungo ameshindwa kuripoti kwenye shule ya Sekondari Lyamungo Kilimanjaro alikopangiwa kuendelea kidato cha tano na sita kwa kukosa mahitaji yote Muhimu ikisababishwa na hali Duni ya maisha. Kijana huyo mhitimu wa kidato cha nne shule ya Sekondari ya wavulana Kilosa ya Mkoani Morogoro, pamoja na Ulemavu akitumia Miguu kuandika na shughuli zote za kujisaidia ni miongoni mwao wanafunzi waliofanya vizuri kwenye matokeo ya mtihani wa taifa akiwa na ufaulu wa daraja la Pili mpaka sasa yupo nyumbani kwao hapa kijiji cha Munga -Mtimbira wilaya ya Malinyi. Anaishi na Bibi mwenye zaidi ya miaka 70 tangu mama mzazi alipofariki zaidi ya miaka tisa iliyopita, Dada yake pia alishindwa kuendelea kidato cha kwanza kwa kukosa msaada. Hatma ya kuendelea na masomo kidato cha Nne na Tano kwa mwanafunzi Hamis Haji Imebaki kwa wasamalia wema, kwa msaada na mawasiliano ni kupitia simu namba 0694 65 0321.