У нас вы можете посмотреть бесплатно Mgogoro wa Ardhi wa Miaka 20 waliza wananchi Morogoro или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakazi zaidi ya thelathini(30) wa eneo la CCT mpakani mwa wilaya za Morogoro na Mvomero hawana mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kuvunjwa kwa kudaiwa kuvamia eneo la msitu wa kuni hatua iliyolalamikiwa na wananchi WAKIDAI HAWAKUPEWA TAARIFA NA SERIKALI . Baadhi ya wananchi hao wamesema kuwa mgogoro wa eneo hilo ni wa zaidi ya miaka ishirini (20) sasa na waliwekeana mipaka lakini sasa wameshangazwa na hatua ya serikali kuvunja nyumba hizo na kumuomba @samia_suluhu_hassan kuwasaidia | Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.