У нас вы можете посмотреть бесплатно JINSI KIPAJI CHAKO KINAVYOWEZA KUATHIRI KUSUDI LAKO | @ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mungu ametupatia vipawa na karama, lakini matumizi yake yanategemea mtu aliyepewa. Dr. Myles Munroe aliwahi kusema "Kusudi la kitu lisipojulikana, matumizi mabaya hayakwepeki" ndivyo ilivyo kwa kila mtu asiyejua kusudi lake hapa duniani hatoweza kukwepa kukitumia vibaya. Maneno haya yote yamewahi kuwa maisha halisi ya Joseph Mapunda maarufu kama QJ( Quality Joseph), aliyewahi kuwa mwanamuziki wa bongofleva kabla ya kuokoka, ambapo alikitumia kipawa chake kinyume na mapenzi ya Mungu. Kwenye kipindi hiki, Pastor QJ anaongelea safari yake tangu anaanza kuimba muziki wa dunia mpaka alipokutana na neema ya wokovu na kuanza kumtumikia Mungu. Karibu ufuatilie sasa. #kuishinikujuakwaniniunaishi #kusudilakothamaniyako #maishayakusudi