У нас вы можете посмотреть бесплатно MKUTANO WA KAMPENI WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KATORO ENG.KIJA LIMBU NTEMI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MKUTANO WA KAMPENI KADUDA, ENG. KIJA LIMBU NTEMI AOMBA KURA ZA CCM OKTOBA 29 Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Katoro, Eng. Kija Limbu Ntemi, ameendelea na kampeni zake za kuomba kura kwa wananchi wa jimbo hilo kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Akiwa katika Kata ya Katoro, Kijiji cha Kaduda, Eng. Kija ameambatana na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Nicholaus Kasendamila, pamoja na timu yake ya ushindi. Katika mkutano huo wa kampeni, Eng. Kija aliwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa mgombea urais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wabunge na madiwani wote wa CCM ili kuendeleza kasi ya maendeleo katika Jimbo la Katoro na Taifa kwa ujumla. Aidha, aliahidi kuendeleza jitihada za kuboresha huduma za kijamii ikiwemo barabara, afya, elimu na miundombinu ya maji endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa mbunge wao.