У нас вы можете посмотреть бесплатно MIAKA MITANO YA MAFANIKIO YA LUKIZA AUTISM FOUNDATION (2020-2025) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Matokeo chanya yaliyochochewa na kazi za Lukiza Autism Foundation nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitano ya kazi zake (2020-2025) Uelewa wa Usonji • Imeweza kufikia Takriban 30% (milioni 20+) ya Watanzania kupata elimu kuhusu Usonji • Watanzania 15,000+, Wanufaika wa moja kwa moja wa elimu ya Usonji kupitia mbio ya Run 4 Autism Tanzania Half Marathon na Autism Awareness Charity Gala Dinner. • 40+ Waandishi wa habari wamepata mafunzo ya uandishi jumuishi kupitia mradi wa internews in Tanzania Elimu ya Taaluma na Mitaala zilizochochewa kuanzishwa • Fani 4 za afya ya akili na huduma za utengamao zilizochochewa kuanzishwa MUHAS • 250+ - Wanafunzi wanaosoma (MUHAS) kwenye fani hizi Huduma za Utengamao • 54 - Watoto waliopata huduma za kitabibu na utengamao kupitia mradi wa Msimbazi Mseto Autism Intervention Therapy • 50+ Wazazi/walezi waliopata msaada wa kisaikolojia na mafunzo ya ulezi Ugunduzi wa Mapema wa Usonji kupitia mradi wa Ustawi kwa Kila Mtoto- Viashiria vya Usonji • 60+ Walimu wa shule za awali na walezi waliopata mafunzo haya • 10 - Watoto waliogunduliwa mapema Uwezeshaji wa Vijana • 30+ Kuunga mkono kihali na kimali kituo cha @saltvtc katika kuwawezesha Vijana wenye Uhitaji maalum kupata mafunzo ya ufundi stadi Sera na Kutambuliwa Kitaifa • 4 - Kushiriki katika Michakato ya kitaifa (Elimu Jumuishi, Afya ya Akili, Sensa ya Watu, Kupelekea Siku ya Usonji Duniani kuanza kuadhimishwa kitaifa nchini. • 10 - Tuzo za kitaifa na kimataifa ikiwemo Tuzo ya Ubalozi wa afya ya akili kutoka Wizara ya Afya. Miradi na Ushirikiano • 5 - Miradi mikubwa ya kijamii iliyotekelezwa • (100+)- Ushirikiano na Serikali, NGOs, vyuo, shule na sekta binafsi Usawa wa Kijinsia • 60% - Wanawake katika uongozi wa @lukiza_autismtanzania • 70% Wanawake miongoni mwa wanufaika wa miradi yake #usonji #tanzania #ustawikwakilamtoto #autismgaladinner2026 #autism