У нас вы можете посмотреть бесплатно ITAKULIZA! Kilichomuua Prof Maji Marefu, Kaka Aeleza A-Z или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ITAKULIZA! Kilichomuua Prof Maji Marefu, Kaka Aeleza A-Z Kufuatia kifo cha Mbunge wa Korogwe kwa tiketi ya CCM, Steven Ngonyani 'Prof Maji Marefu' kilichotokea usiku wa kuamkia leo, Global Tv imefunga safari mpaka nyumbani kwa marehemu maeneo ya Mikocheni kwa Mwl Nyerere ambapo ndipo msiba ulipo na kuzungumza na Kaka wa Marehemu anayeitwa Hilary Ngonyani. Kwa mujibu wa maelezo ya kaka amesema kwamba marehemu Maji Marefu alikuwa akisumbuliwa na ubaridi kwenye mapafu yaani (Nimonia) na ndiyo hasa ugonjwa uliosababisha kifo chake. Kaka huyo pia ameelezea ratiba nzima ya mazishi ya Marehemu Maji Marefu ambapo kesho ataagwa katika ukumbi wa Karimjee na kisha kusafirishwa kuelekea Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi. Kwa niaba ya Global Tv tunapenda kutoa pole kwa Familia, Bunge, Wananchi wa Korogwe na Watanzania wote kwa ujumla. "Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe" Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .