У нас вы можете посмотреть бесплатно IRAN YATUMA SATELLITE 3 KWENDA ANGA za MBALI kwa MSAADA wa URUS - TEKNOLOJIA KUBWA 📍 IRAN или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
IRAN YATUMA SATELLITE 3 KWENDA ANGA za MBALI kwa MSAADA wa URUS - TEKNOLOJIA KUBWA 📍 IRAN @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Iran siku ya Jumapili ilizindua satelaiti tatu za mawasiliano kwenda kwenye mzunguko wa dunia kwa msaada wa Urusi, ikiwa ni mara ya pili kwa uzinduzi wa aina hiyo kufanyika tangu mwezi Julai, kwa mujibu wa taarifa ya televisheni ya taifa ya Iran. Satelaiti hizo zilibebwa na roketi ya Urusi kutoka katika kituo chake cha kurushia vyombo vya anga, hatua inayodhihirisha kuendelea kuimarika kwa ushirikiano wa anga kati ya Moscow na Tehran. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx