У нас вы можете посмотреть бесплатно KITANZI FULL MOVIE ❤️❤️❤️❤️❤️ (LOVE STORY) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KITANZI. ni storry inayo wahusu vijana wa wili ambao walijikuta wakiingia kwenye mahusiano ya kimapenzi wakiwa bado wapo masomoni. safari ya DASH na mrembo ASINATH. ya mapenzi ilianza wakiwa kidato cha sita. penzi lao lilikua penzi marufu sana shuleni hapo kwani wote walionyeshana upendo wa kweli na DASH alizidi kumpenda sana mpenzi wake. licha ya kijana DASH kwao palikua na maisha magumu ila lakini ASINATH alimuonyesha upendo na kumfanya kijana DASH kuwa chizi wa mapenzi kwa mpenziwake. DASH anazama zaidi kwenye penzi. pasipo kujua mpenziwake alikua na mwanaume mwingine ambaye alikuwa nje ya inchi kwa ajiri ya utafutaji. baada ya kumaliza masomo yao ndipo mwanaume wake analejea na kuhitaji kumuoa mwanamke wandoto yake ASINATH. haliiliyo mpelekea kijana DASH kupitia maisha magumu sana baada ya mwanamke wake kufunga doa na kumuacha DASH akihangaika. anaingia kwenye ulevi wa pombe na kuona hana umuhimu wa kuendelea kuishi kwenye hii dunia anaona ni bora ajinyonge afie mbali. #film #love #movie #clamvevo #comedy #chadomasta #kenya #uganda #lovestory #kiparabrand #azamtv #tanzania