У нас вы можете посмотреть бесплатно TEGETA YATAJWA UJENZI BRT, SERIKALI YASAINI MKATABA MIRADI MITANO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali imesaini Mikataba mitano ikijumuisha mkataba wa ujenzi wa barabara ya TAMCO – Vikawe hadi Mapinga kwa kiwango cha lami; sehemu ya Pangani hadi Mapinga, ambayo itagharimu zaidi ya shilingi Bilion 500 kwa ufadhili wa serikalina Benki ya Dunia. Miradi hiyo, minne ni kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu ya Usafiri wa Haraka wa Mabasi Jijini Dar es Salaam na Mradi mmoja ni kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya TAMCO – Vikawe hadi Mapinga kwa kiwango cha lami. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09